Kwanza kabisa katika mahusiano ni lazima tujue wenza wetu wamevutiwa na nini kutoka kwetu, inawezekana amekupenda kwa sababu ya tabia,sura,pesa au umaarufu na mengineyo lakini ni muhimu kuligundua hilo mapema,,pale mwenza wako anapokuambia anakupenda ni muhimu kumuuliza kwanini unanipenda? ili upate kujua alichokupendea,kwa kufanya hivyo ni wazi kuwa utagundua msimamo wa uhusiano ulionao..Pia kuna baadhi ambao ni matapeli anaweza akakupa vigezo vya uongo huku akijifanyisha kuwa anakupenda ukimgundua mtu huyu basi ni bora uepukane naye kwani inaweza kuwa hatari hapo baadaye. |
Ni kweli mwenzangu ni lazima mtu akuambie ni kwa nini amekupenda kwani matapeli wa mapenzi ni wengi tupo pamoja my dia
JibuFuta