Kipindi hiki ukipita katika maeneo mbalimbali ya jiji utagundua kuwa msimu wa matunda umeanza hasa maembe na mananasi,kwa harakaharaka wengi wetu hutumia msimu huu kwa ajili ya kujenga afya zetu,lakini mbali na ujenzi wa afya kuna kipindi ambacho wauzaji wa matunda hayo hujisahau na kuanza kuyauza katika mazingira machafu,hivyo kuchangia kuzibomoa tena afya zetu badala ya kuzijenga. |
Mums! Ahsante kwa kutukumbusha!
JibuFuta