| Nimeyapenda sana hayo maneno kwenye katuni kiukweli haya matukio ya kila kukicha mara mwalimu kampa mimba mwanafunzi,mwalimu kabaka,mwalimu kafumaniwa na mwanafuzi na mengineyo ni matukio yakushangaza na kusikitisha kutokana na kwamba tunategemea mwalimu atamfundisha mwanafunzi maadili mema lakini unakuta mwalimu anabaka au anafumaniwa na mwanafunzi .Hivi nini kinampelekea kufanya hivyo je ni tamaa,ulevi,ulimbukeni au ni nini jamani huwa inauma sana kusikia matukio ya aibu tena yanamuhusisha mwalimu kama kioo cha jamii |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.