| Warda Chande katika pozi
niliyapenda maneno hayo,, kwani ni kweli binadamu wengine wanatabia ya
kumjaribu mtu waone atasema nini ili kuanzisha ugomvi,, lakini muhimu
kama unakutana na mtu wa hivyo ni bora kunyamaza kimya ili kuepusha
shari kwani ukishindana na mjinga siku zote na wewe utaonekana mjinga,, Mfano
unamgundua mtu anakuzungumzia vibaya kwa watu ili kukuharibia katika
kazi yako na maneno hayo unakuta ni ya uongo,,katika hili binadamu
tunatofautiana kuna atakayenyamaza kimya na kuyaacha kama yalivyo,,kuna
atakaye pigana,,kuna atakayenuna nk,,,ila kwako wewe mdau unasemaje,, nini cha kufanya inapotokea hivi,,,,, |
Ni kuacha na kuendelea na mambo ya busara kuliko kupoteza muda na kitu/mtu ambaco si cha kweli.
JibuFuta