Pages

Jumatano, Januari 18, 2012

Je huwa tunajifunza nini kupitia habari za udaku kutoka katika vyombo vya habari

Nilimkuta Aneth akiwa anasoma kwa umakini katika gazeti la udaku nini ambacho kimejiri lakini pia nikajiuliza watu wengi wanapenda sana udaku ndiyo maana magazeti ya udaku yanauza sana NA  JE ULISHAWAHI KUJIULIZA KUWA UNAWEZA KUJIFUNZA JAMBO FULANI KUPITIA HABARI ZA UDAKU?? AU HUWA ZINAKUFURAHISHA TU

Maoni 3 :

  1. tunajifunza sana umbea maa asilimia kubwa huwa hayana ukwel kabisa..umebea + uzushi

    JibuFuta
  2. Tunajifunza coz yanatupa habari mpya mpya tena za ndani ambazo hatuzijui though celebrities wengi hukanusha ukweli wa jinsi waandikwavyo thats why yanaonekana ya uongo though ni ukweli.

    JibuFuta
  3. Tunajifunza kupata khabar za hot hot ambazo zina ukweli ila wahusika hawataki kuzielezea juu ya ukweli wake. mimi binafsi napenda sana sana magazeti ya udaku kwani ni ya ukweli mtupu!

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.