Katika maisha kila kitu tunachokifanya kinahitaji ufanisi na tafakari na ili uweze kufanya kwa ufasaha lazima utakuwa makini. KAMA KWELI UNAIPENDA KAZI YAKO AMA UNAPENDA KUFANIKISHA JAMBO FULANI KATIKA MAISHA YAKO LAZIMA UTAKUWA MAKINI NA KILE UNACHOKIFANYA. |
Adela asante sana kwa ujumbe huuni kweli kabisa unalolisema katika kila kitu ni lazima kuwa makini
JibuFutaNi lazima kuzingatia hayo katika maisha yetu ya kila siku
JibuFutaOut of topic Adela! Naomba unijuze jinsi ya kutengeneza samaki wa kugrill, the marinations.....Vitu gani vinahitajika ili awe test. I need to start fish diet only na Matunda. Thanks
JibuFutapoa mwaya usijali nitafanya hivyo baada ya kupata maelekezo kamili katika kitabu changu cha mapishi tuko pamoja mdau
JibuFuta