Pichani ni mwanadada Mange akiwa na watoto yatima ambapo kuelekea Valentine's day ameamua kushirikiana na wadau mbalimbali ili kusherekea pamoja na watoto yatima shughuli hii itakuwa siku ya jumapili tarehe 12, nimependa sana uamuzi huu jamani kwani hawa watoto wanahitaji misaada na upendo kutoka kwa jamii inayowazunguka ukitaka kufahamu zaidi ingia katika blog ya Mange http//www.u-turn.co.tz |
Hiyo imekaa vyema mpendwa, sio wapendanao wanakula kuku kwa mrija wakati mayatima, watoto wa mitaani, masikini, wanaishia majalalani...tutalaaniwa jamani!
JibuFuta