![]() |
Whitney Elizabeth Houston alizaliwa tarehe (9 Agosti, 1963 na kifo chake tarehe 11 Februari, 2012 alikuwa ni mwanamuziki wa Kimarekani, mcheza filamu na mwanamitindo. Whitney ni mshindi wa Tuzo ya Grammy - akiwa kama mwimbaji bora wa pop/R&B, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. |
![]() |
Alifahamika zaidi kwa kuwa na sauti kali yenye nguvu na mvuto. vilevile watu wengi walimpenda zaidi kupitia nyimbo zake kama "I Will Always Love You" na "I wanna dance with some body" kutoka katika toleo lake la 'The Star Spangled Banner.'. |
![]() |
Whitney Houston alifariki mnamo tarehe 11 Februari, 2012 katika mazingira ya utata. Mwili wake ulikutwa katika chumba cha hoteli ya Beverly Hilton huko Beverly Hills, California. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi AMEN. |
nilikuwa nampenda sana huyo mdada Mungu amlaze mahali pema peponi
JibuFutayaani hayo ni madawa yatakuwa yamemuua tu
JibuFutaamen
JibuFuta