Pages

Jumatano, Mei 16, 2012

JE SIMULIZI IPI UNAIPENDA ZAIDI je ni ya MAMA MDOGO, DADA YANGU AU KOSA LANGU,,,, IPI UNGEPENDA IENDELEE KWA HARAKA.

Asanteni sana kwa kuwa wadau wa simulizi zangu, ambazo naziweka kupitia hapa bloguni.Ningependa kufahamu kutoka kwako ipi unaipenda ambayo ungependa kufahamu muendelezo zaidi, pia unaweza kuweka mapendekezo nikuwekee muendelezo wa simulizi kila baada ya muda gani? tuko pamoja sana.

Maoni 9 :

  1. DAVID JERMOS16 Mei 2012, 21:29

    Niaje cster ADELA,ukweli ni kwamba tumemisi sana simulizi zako,humu ndani.mi,ningependa huanze na simulizi ya "dada yangu'na kama ikiwezekana uwe unaweka after 2 or 3 days.tupo pamoja cster pul up.

    JibuFuta
  2. lyna wa ukweee16 Mei 2012, 22:17

    plsssssss ya DADA ANGU na MAMA MDGO.ila kma una una mda endeleza ya DADA YANGU.

    JibuFuta
  3. Mi ningependa Simulizi ya DADA YANGU ndiyo iendelee kwa haraka pia uwe unaiweka kila baada ya siku mbili. ntafurahi sana. pia tunasuburi vitabu huku Arusha.

    JibuFuta
  4. Mimi Napenda zote, zilivyo tamu ningelifurahi kila siku ungeweka zote...Tupo pamoja

    JibuFuta
  5. Dada yangu ndio mwisho wa habari

    JibuFuta
  6. dada yangu. ni stori nzuri sana mummy natamni iindelee

    JibuFuta
  7. Hi Adela mi umenikata uhondo pale ulipoacha kuendelea na simulizi ya kosa langu, naomba uendelee nayo japo kwa wiki mara 2 simulizi hizi zinatupa fundisho na kutuburudisha pia.

    JibuFuta
  8. hi! Adela hope upo pouwaaa mi ningependa uendeleze ya dada yangu naipenda sana

    JibuFuta
  9. tuko pamoja sana wadau wangu nitajitahidi kuwawekea simulizi mara kwa mara nashukuru sana kwa kuwa wadau wangu

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.