Pages

Jumatatu, Julai 23, 2012

ALBUM YETU YA LEO LINAH SANGA KATIKA POZI TOFAUTI

Msanii kutoka kundi la THT Linah Sanga alimaarufu kama ndege mnana kutokana na kuwa na sauti nyororo na nzuri sana

NICE 

CUTE

LOVELY

Maoni 5 :

  1. Lina wewe ni mkali.Cute girl!

    JibuFuta
  2. lina mashalaaah amependeza sana make up imetulia mahala pake hongera zake. na ana sauti nzuri sana mi nampenda kametulia no skendo chafu chafu keep up mdada!

    JibuFuta
  3. Kweli sijasikia waduku wakikudakua hongera sana

    JibuFuta
  4. as beautiful as ur voice....kip it up mamie

    JibuFuta
  5. Lina u so quteeee,lyk uu

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.