Pages

Jumapili, Septemba 30, 2012

FAMILIA INAYOSALI PAMOJA NDIYO FAMILIA INAYOKAA PAMOJA JUMAPILI NJEMA WADAU

Tukumbuke kumshukuru Mungu kwa kila jambo kwani hakuna linaloshindikana kwake UPENDO, FURAHA ,AMANI, MATUMAINI, BUSARA na mambo mengine mengi hupatikana kwake.  

Maoni 1 :

  1. Ibada ni muhimu kwa kila binadamu, kutegemea na imani yako!

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.