Katika maisha ya mapenzi inawezekana ukawa unamuamini sana mwenza wako kulingana na maisha manayoishi kama anakujali kwa kila kitu unachohitaji huku akikupa mapenzi motomoto lakini pia kwa wakati mwingine mtu huyo ni msaliti ni kweli ya wezekana ikawa ni vigumu kumtambua msaliti katika mapenzi kutokana na mnavyoishi.
labda itokee umepewa maneno na watu na hata na hivyo utakapoletewa maneno unaweza usiamini kwani mara nyingi amekuwa huru kwa kila kitu kwako hata simu yake ya mkononi umekuwa huru nayo unapomuhitaji unakuwa naye kwahiyo unahisi awezi kukusaliti ninachoamini UAMINIFU KATIKA MAPENZI UNAJENGWA NA MTU MWENYEWE KWANI INAWEZEKANA AKAWA NI MWIZI LAKINI USIGUNDUE |
Upenzi, urafiki ni kitu kingine, na NDOA ni jambo jingine, mnapoingia kwenye ndoa kama mnasalitiana, basi sijui hapo kuna ndoa tena.
JibuFuta