Nikuulize mpendwa, hizi sherehe za jikoni, zinasaidia nini, maana siku hizi ndoa nyingi zipo kwenye `dhahama' hazina amani,...kuna nini, huko kwenye sherehe za jikoni, kwanini msianzishe sherehe za chumbani,mkaziita `engagement party' ili watu wafundwe, huenda hilo ndio tatizo
Kumsaidia emu-three ni kwamba kutokana na hayo ya ndoa nyingi kuwa juu ya mawe ndio tunazungumza kwa nini?unadhani ishu ni chumbani kama ulivyosema kuna mambo mengi sana nje ya chumba.Unadhani mwanamke na mwanaume wanapooana hawajui kuridhishana katika tendo la ndoa???ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa my friend!na hapo ndio kwenye utata ukichanganya na changamoto ya utandawazi.Karibu uje tuzungumze.
Duh, nawashukuru wapendwa, natumai hoja imehamasisha watu waje huko kwa wingi, hasa hilo neno, kuwa `ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa'
Swali ni je ni nini kinachosababisha ndoa ziwe ndoana? Labda pia wanaume wangeulizwa hilo, huenda wakawa na majibu fulani ya kusaidia, kuliko kuangalia upande mmoja wa shilingi!
Nikuulize mpendwa, hizi sherehe za jikoni, zinasaidia nini, maana siku hizi ndoa nyingi zipo kwenye `dhahama' hazina amani,...kuna nini, huko kwenye sherehe za jikoni, kwanini msianzishe sherehe za chumbani,mkaziita `engagement party' ili watu wafundwe, huenda hilo ndio tatizo
JibuFutaYaani humu kuna mambo mazuri sana unapata kujifunza mambo mengi sana rafiki kuhusu mapenzi nk fuatilia zaidi utafahamu Nini kitakuwepo msimu huu
JibuFutaKumsaidia emu-three ni kwamba kutokana na hayo ya ndoa nyingi kuwa juu ya mawe ndio tunazungumza kwa nini?unadhani ishu ni chumbani kama ulivyosema kuna mambo mengi sana nje ya chumba.Unadhani mwanamke na mwanaume wanapooana hawajui kuridhishana katika tendo la ndoa???ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa my friend!na hapo ndio kwenye utata ukichanganya na changamoto ya utandawazi.Karibu uje tuzungumze.
JibuFutaDuh, nawashukuru wapendwa, natumai hoja imehamasisha watu waje huko kwa wingi, hasa hilo neno, kuwa `ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa'
JibuFutaSwali ni je ni nini kinachosababisha ndoa ziwe ndoana? Labda pia wanaume wangeulizwa hilo, huenda wakawa na majibu fulani ya kusaidia, kuliko kuangalia upande mmoja wa shilingi!