Pages

Alhamisi, Oktoba 04, 2012

SISI SOTE NI NDUGU TUPENDANE TUSAIDIANE

Watoto hawa wanatamani kuishi maisha ya furaha na upendo lakini tizama wanavyoishi katika mazingira magumu tuishi kwa kusaidiana 
naupenda sana ujumbe uliopo katika wimbo huu wa Ben Paul na video inavyoonekana

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.