Wanapendeza pamoja, imekuwa ikitokea katika baadhi ya mahususiano mwanamke akishapata ujauzito basi mwanamume anakuwa na mwanamke wa pembeni si jambo la busara jamani ni vyema kuvumiliana katika shida na raha na wengine hudiriki kusema mke wangu ujaouzito wake unamfanya anakuwa na kisirani kumbuka hiyo ni hali ya kawaida pindi mwanamke anapokuwa katika hali hiyo.
Pia kwa wanawake kipindi cha ujauzito ni vyema kujitahidi kuwa katika hali ya usafi na kujipenda siyo kwasababu ni ya ujauzito basi unaamua kujiachia ni kipindi kigumu lakini pia inawezekana kuwa katika muonekano mzuri ukijiweka katika hali ya usafi na kujipenda USHIRIKIANO BAINA YA WAPENDANAO NI JAMBO LA MSINGI SANA. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.