Ni kweli kabisa kila mmoja wetu ana malengo yake ambayo angependa kufanikisha lakini pia ni wazi kabisa bila juhudi unaweza usifanikiwe malengo yaitaji msimamo, bila kukata tamaa ijapokuwa katika kufanikisha jambo fulani huwa kunachangamoto nyingi sana lakini ni vyema kupigana na kutimiza ndoto zako kama ni kazi fanya kazi kwa bidii, kama ni mwanafunzi soma kwa bidii na kama ni mfanyabiashara ongeza juhudi na ubunifu zaidi wakati wote ni wakati wa kutafakari na kufanikisha malengo katika maisha |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.