Kitabu cha "MAPITO" ni simulizi ya kweli na ya kusisimua inayohusu maisha ya kijana mmoja yatima aliyekulia kwenye maisha duni sana kiasi kwamba kuna wakati ilikuwa vigumu kwake hata kupata mlo mmoja wa siku. Hata hivyo kijana huyo kwa sasa ni marehemu. :Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi." USIKOSE KUNUNUA KITABU HIKI......KINAPATIKANA SCHOLARSTIC BOOKSHOP (MLIMANI CITY), UBUNGO STAND, MWANZA BARABARA YA NYERERE ROAD, MOSHI KWENYE BOOKSHOP ZOTE. PIA WAWEZA KUTUPIGIA SIMU KWA NAMBA 0715 199 869 KWA MAELEZO ZAIDI. |
MIE NIPO UK NATAKIPATAJE HIKI KITABU?
JibuFuta