Asante sana kwa picha nzuri! Naona kila picha yako unayoweka inavutia sana! Haya nami nakutakia wkend njema yenye furaha na amani katika moyo wako.
Adella, jamani acha kuniumiza wewe dada na mbaya zaidi siwezi kukufikia ulipo nikadondosha mawili matatu ya kutikisa kiberiti.Haya bibie uko poa kabisa na jicho la kukaangizia sisi vidume.
Na wewe pia mpendwa
asanteni sana tuko pamoja
Adella unalipa mama!!
Jicho la toto la Kihaya hilooooooo pasua vicha vya wanaume hahahahahaaa
Hizo ni natural hair Ad..?
Unakaribishwa kutoa maoni yako.
Asante sana kwa picha nzuri! Naona kila picha yako unayoweka inavutia sana! Haya nami nakutakia wkend njema yenye furaha na amani katika moyo wako.
JibuFutaAsante sana kwa picha nzuri! Naona kila picha yako unayoweka inavutia sana! Haya nami nakutakia wkend njema yenye furaha na amani katika moyo wako.
JibuFutaAdella, jamani acha kuniumiza wewe dada na mbaya zaidi siwezi kukufikia ulipo nikadondosha mawili matatu ya kutikisa kiberiti.Haya bibie uko poa kabisa na jicho la kukaangizia sisi vidume.
JibuFutaNa wewe pia mpendwa
JibuFutaasanteni sana tuko pamoja
JibuFutaAdella unalipa mama!!
JibuFutaJicho la toto la Kihaya hilooooooo pasua vicha vya wanaume hahahahahaaa
JibuFutaHizo ni natural hair Ad..?
JibuFuta