Pages

Jumatatu, Oktoba 08, 2012

ujumbe wangu wa leo "usifanye jambo kwa kukurupuka jipange ili kuwa na uhakika na unachokifanya

Katika kufanikisha malengo yako unapofanya jambo fulani ni vyema kutuliza akili na kutafakari kwanini umeamua kufanya jambo hilo kwani kufanya jambo bila kutafakari inawezekana kuja kuwa majuto kwako unaambiwa HARAKA HARAKA HAINA BARAKA . ni vyema kuwa na uthubutu wa jambo fulani lakini pia ni vyema kuwa makini katika kufanya jambo hilo.

Maoni 3 :

  1. Ahjsante dada Adela kwa bonge la wazo.

    JibuFuta
  2. Mmm huh!! Adell ingekuwa kunawezekana kumwiba mwanadamu kama kuiba pipi ningekuwa nilishakuiba zamani hahahahaaaaa yaani unanikoshajeeee!! Sijui kwa siku unapigiwa miluzi mara ngapi ukipita huko barabarani maana huh!! siri yangu dada unawaka kama taa ndani ya giza totoro.Umebarikiwa binti wa Kavishe. Best wishes kwa aliyetutangulia kumwaga sera kwako na ukamkubali!!!

    JibuFuta
  3. Wazo makini,kukurupuka majuto ni mjukuu, huja baada ya kitendo, utabakia kusema `ningelijua,nisingeli...Hizi ngeli zina hekima yake. Tupo pamoja mpendwa,vipi sherehe ya jikoni ilikuwaje?

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.