Women in balance kitchen party gala kufanyika kwa mara nyingine tena.Safari hii ni ya mwisho kwa mwaka huu na ya aina yake. Itakuwa jumapili ya tarehe 21st october 2012.
Mahali:Diamond jubelee VIP hall
Muda:Kuanzia saa nane mchana mpaka saa nne usiku.
Kiingilio:Tsh 30,000
Ukitaka kubook meza ya watu kumi piga namba 0787583132,0716485666
Safari hii ukiacha wasemaji kuna burudani ya kila aina ukizingatia ni ya mwisho kabisa kwa mwaka huu.Bila kusahau chakula,na vinywaji laini.
RANGI YA SIKU
Kwa muda kina dada/mama mmekuwa mkitoa maoni mnataka kushona nguo mtokelezee.
Basi rangi ya siku ni rangi ya chenza (tangerine tango)color of the year 2012.
Ishone utakavyotaka wewe iwe kitambaa cha kawaida,kitenge,kanga,batiki,au ukachanganya vyovyote ili mradi uzingatie rangi ya siku.(sio lazima sana lakini)
WADHAMINI..
Shukrani za pekee nazipelekwa kwa Tsn Supermarket ya hapa Tanzania kwa kukubali kuungana nasi.
Tsn supermarket wamesambaa sasa hapa Dar es salaam wakiwa na branches za kutosha.Wapo bamaga,upanga,mikocheni na Tegeta.
Siku ya women in balance kitchen party gala wote mtakaohudhuria kupata voucher ya punguzo la bei ukienda kununua bidhaa Tsn Supermarket.Pia tutachezesha mchezo wa wewe kushinda voucher ya shopping bure.Tsn supermarket
inasupport wajasiriamali wa hapa Tanzania asilimia 70 ya bidhaa zinazouzwa Tsn ni za hapa nyumbani.Lakini kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu.
Pia shukrani kwa wadhamini wetu SOSSI vipande vya nyama,coca cola,Shekinah garden na clouds fm
|
Thitemi tena,
JibuFuta