ME MY SELF AND I NDANI YA BLACK AND WHITE kuna kipindi nilikuwa napenda sana midoli yaani nikiiona popote inauzwa natamani kununua nakuwapamba chumbani lakini baadaye nilikuja kuona kama ni kero kwani walikuwa wengi sana hivyo nikaamua kuwagawa wote nakubaki na mdoli mmoja niliyenaye pichani anaitwa Sakina, huyu ni rafiki yangu lol midoli ya aina hii hutumika kama pambo katika nyumba lakini wakizidi sana ni kero kwakweli. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.