Pages

Jumanne, Novemba 06, 2012

JE WEWE NI MWANAMITINDO NI WAKATI WAKO SASA UNIQUE MODEL SEASON 2 SI YA KUKOSA

Wanamitindo wote wenye ndoto za kukuza vipaji vyao mnaombwa mjitokeze siku ya tarehe 18/11/2012 siku ya jumapili saa nne asubuhi katika hoteli ya Lamada iliyopo maeneo ya Msimbazi ili kufafanyiwa usaili wa kupata tiketi ya kuingia UNIQUE MODEL  a.k.a "gold room".
Ewe mwanamitindo usikose nafasi hii adimu ya kutimiza ndoto zako za kuwa mwanatindo maarufu na atakaepata dili kibao za mitindo ndani na nje ya nchi,jitokeze ni wakati wako sasa binti.
Unique model 2012 imedhaminiwa na Giraffe ocean view hotel,Dtv,Gazeti la Tanzania Daima,mashujaa Investment ltd,
Sophernner Investment co ltd,K.d.surelia,young don records,Kiu investment ltd,Oriental bureau de change,,J’s professional ltd,Lamada apartments hotel,wajanja club blog na Unique entertainment blog. 
                                                             

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.