Pages

Jumatano, Novemba 07, 2012

MANENO MATAMU KWA MPENZI

Salamu yako ni nusu ya uhai wangu , kuikosa ni sawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata ni sawa na ua waridi machoni mwangu   na kila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu.
*****************************************************
Moyo wangu unafarijika sana kupata penzi lako tamu lisilo na kifani, nakupenda wangu wa moyo wewe ni kila kitu kwangu, TULILINDE  PENZI LETU MILELE
******************************************************
Fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka soma ujumbe mzuri wa mahaba nakupenda mpenzi na pia namshukuru Mungu kutukutanisha na kuwa pamoja naahidi kukupenda milele daima.

Maoni 1 :

  1. Kweli mapenzi ukiyajulia yana raha yake, kauli tu ni raha tosha, mpe mpenzi wako kauli nzuri uone jaza yake!

    JibuFuta

Unakaribishwa kutoa maoni yako.