Mara nyingi kutokana na changamoto nyingi tunazokutana nazo katika maisha wakati mwingine mtu huwa na huzuni na kukosa furaha. Lakini pale unapopata faraja katika jambo fulani hujisikia furaha na kujiona mwepesi, na je huwa unawaza kuitafuta furaha kwa njia gani? Kwani baadhi ya watu hufikiri kuwa na pesa ni furaha tosha, ama kuwa na mpenzi au kuwa katika ndoa ni furaha.Ni kweli yawezekana ikawa nifuraha lakini pia ndani yake kukawa na majonzi, hivyo ni vyema kuwa mvumilivu, usikate tamaa kuitafuta FURAHA. waswahili husema CHEKA UONGEZE SIKU ZA KUISHI. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.