Yawezekana ukawa unaambiwa maneno mengi sana juu ya yule unayempenda, kwa mfano anakuja rafiki ama jirani na kukuambia kuwa mke ama mume wako anakusaliti na wewe bila hata ya kuchunguza unaamua kuchukua maamuzi ya kuvunja uhusiano. Unaambiwa si kila anayekuambia maneno ni mwenye nia njema na wewe mwingine hapendi kukuona wewe ukifurahi hivyo yupo tayari kufanya lolote ili uhusiano ulionao uvunjike kuwa makini CHUNGUZA NA TAFAKARI KABLA YA MAAMUZI |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.