Pages

Jumatatu, Machi 18, 2013

NI VYEMA KUBADILI MTINDO WA MAISHA KUEPUKA UGONJWA WA KISUKARI.

Kwa kupunguza kiwango cha sukari na mafuta katika milo ya kila siku, na kuacha uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kupita kiasi, Takwimu zinaonyesha kuwa  watu zaidi ya milioni 347 wanaugua kisukari duniani kote. Shirika la afya Duniani (WHO) limetoa onyo kwa watu duniani kote wanaweza kubadili mtindo wa maisha ili kuepukana na ugonjwa wa kisukari.  Mwaka 2004, watu zaidi ya milioni 3.4walikufa kutokana na ugonjwa hu. WHO imetabiri kuwa ifikapo mwaka 2030 ugonjwa wa kisukari utakuwa chanzo kikuu cha vifo duniani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.