Pages

Alhamisi, Januari 16, 2014

NENO LA LEO, SOMA NA TAFAKARI MANENO HAYA.

Anaitwa Henry Wadsworth Longfellow mshairi maarufu nchini Marekani haya ni maneno aliyokwishawahi kuyasema "Tunajikosoa wenyewe kwa kile tunachoona tuna uwezo wa kukifanya lakini wengine wanatukosoa kwa kuangalia vitu ambavyo tumeshavifanya"

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.