Pages

Jumatatu, Januari 06, 2014

WASEMAVYO WATAALAMU SI VYEMA WANAWAKE WAJAWAZITO KUVAA VIATU VIREFU NA TOP ZA KUBANA

Iwapo mwanamke atapendelea kuvaa viatu virefu au nguo za kubana kipindi cha ujauzito.Matatizo ya kuumwa miguu, kiuno mgongo ni rahisi kumpata. Visigino virefu  hubadili miundo ya miguu,hivyo hupelekea magoti na mapja kufanya kazi ya ziada ili kuupa mwili usawa kwakuwa misuli inafanya kazi kubwa.Huwezekano wa kupatwa na matatizo ya kuumwa miguu na kushindwa kutembea siku za baadaye ni mkubwa zaidi.
Viatu virefu, husababisha maumivu ya visigino, damu kuvilia ndani ya miguu,neva ya fahamu kushindwa kufanya kazi vizuri na matatizo kwenye nyonga.Bora na wale wanaovaa kwa muda mchache , sasa mwingine unakuta anatembea mwendo mrefu halafu anakazana na viatu virefu (high heels)  ni bora kuwa huru kwa kuvaa kiatu kulingana na mazingira unayokwenda.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.