Pages

Ijumaa, Februari 28, 2014

RAIS KIKWETE AMEZINDUA MTAMBO WA UHAKIKI NA USIMAMIZI WA HUDUMA ZA SIMU YA MKONONI

Rais Kikwete akizindua rasmi mtambo wa uhakiki na usimamizi wa huduma za simu ya mkononi.


Uzinduzi wa Mtambo wa Uhakiki na Usimamizi wa huduma za simu za mikononi. Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete aliuzindua mtambo huo jijini DSM jana 27 Jan 2014


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Unakaribishwa kutoa maoni yako.