Mtu mmoja nchini Ujerumani amesema atafungua mashtaka dhidi ya mwanamke aliyemfungia ndani kwa muda wa saa tano mfululizo na kumlazimisha kufanya naye mapenzi. Bwana huyo anayefahamika kwa jina la Dieter ameliambia gazeti moja mjini humo kuwa alilazimika kupiga simu polisi waje kumuokoa kutoka nyumbani kwa mwanamke aliyemfungia ndani. Polisi walifika na kumfungulia mlango ambapo bado upelelezi unaendelea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.