Usawa kwa wanawake ni maendeleo kwa wote. Ikiwa ni usawa wa uongozi katika sekta mbalimbali kwa wanawake na katika mambo mbalimbali ya kuleta maendeleo katika jamii. "Kauli mbiu ya siku ya leo "Chochea mabadiliko kuleta usawa wa kijinsia" HAPPY WOMENS DAY
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.