Pera lina vitamin c mara nne zaidi ya ile inayopatikana kwenye chungwa. Ni tunda zuri kwa wanaougua kisukari kwani tunda hili lina nyuzinyuzi kwa wingi pia lina kirutubisho chenye kinga dhidi ya sukari.Huzuia kuzeeka kwa ngozi, Vitamin zilizopo kwenye pera vinasaidia kuondoa sumu mwilini na kuikinga ngozi yako dhidi ya mikunjo na hata kuchakaa. Huboresha uwezo wa kuona na pia ni tunda zuri kwa wajawazitoPera lina folic acid au vitamin B-9 ambayo husaidia kujenga mfumo wa fahamu kwa mtoto aliyeko tumboni.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.