"Elimu inayotolewa ni lazima ijenge mambo matatu kwa kila mwananchi, akili ya kuuliza, uwezo wa kujifunza kutoka kwa wengine na uwezo wa kujiamini kama raia huru na sawa katika jamii anayethamini wengine na kuthaminiwa kwa anachokifanya na siyo kwa anachopata. Nukuu ya leo na Hayati Mwalimu Julias Nyerere
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.