Tazama picha hii huyu ni mwanamke amelala chooni baada ya kuzidiwa na kilevi,hii ni hatari kwani mtu wa aina hii anakuwa hajitambui na chochote kibaya kinaweza kumpata..katika hali kama hizi wengine hufikia hatua ya kubakwa na kudhalilishwa..jamani pombe sio chai.. |
Mwingine utakuta anakunywa pombe kwa madai ya kwamba itamuondolea mawazo, labda ameachwa na mpenzi,au amegundua mpenzi wake anamsaliti.au katapeliwa,mwingine anakunywa kutokana na ushauri wa makundi,,na mtu huyu unakuta hana uwezo wa kunywa pombe nyingi sasa inampelekea kulewa sana na kumuaibisha mbele za watu. |
Mwingine ndio hivyo kama hana mtu wa kumsaidia kumbeba ili ampeleke nyumbani ,,anaweza kulala hata bar au barabarani,ya nini kujitesa jamani kama pombe huiwezi bora uache |
Tazama picha hii hawa wanawake wamelewa wote huku wameshikilia pombe zao mikononi,Kama wewe unapenda kutumia kilevi hakuna tatizo ila jamani isizidi kipimo ikakuaibisha,kuna watu wana aibika mbele za wakwe,,wazazi,mabosi zao..kutokana na kufanya mambo ya ajabu kwa kunywa pombe kupita kiasi. |
Haipendezi kabisaaaa, mwishowe utaishia kubakwa. mweeee.
JibuFutaKula Gambe sio mbaya, ila kamaukizidisha hapo ndio noma si unajua "" you should take an alcohol which you can accommodate"" alwayz too much is halmful hata iwe nini...na kubakwa unaweza kubakwa bila hata kulewa so jamani tunaishi kwa MITEGO na hujafa hujaumbika so point yangu ni moja "JIACHIE ILA KUWA MAKINI ,AKILI KUMKICHWA>Just showing some love sister ADELA anagalia www.hungaz.blogspot.com upate manyuziiiiii.holaa
JibuFutapombe si maji jamani!!!
JibuFuta