Akizungumza na gazeti la Mwananchi Kamanda wa Polisi mkoani Lindi, amesema inaelekea mtuhumiwa alikuwa amejiandaa kwani wakati mwenzake akiendelea kukataa mara ghafla mtuhumiwa alichomoa kisu na kuanza kumchoma sehemu mbalimbali ya mwili wake mgongoni na kifuani na hatimaye kuishiwa nguvu na kupoteza fahamu.mara baada ya tukio mtuhumiwa alikimbia lakini kwa sasa amekamatwa na yupo kituoni.na Habiba anaendelea vizuri na matibabu.Jamani tutatoana roho kwasababu ya mapenzi na wakati mwingine inawezekana ukachukua uamuzi kwa kitu usichokuwa na uhakika nacho be care friends. |
|
mmmhh! kazi kwelikweli mpaka kushikana kabisa kwa sababu ya kupenda. Lakini sasa kuna maana gani ukiitoe roho ya mwenzako.
JibuFutaasante kipenzi@Yasinta yaani hakuna umuhimu wowowte zaidi ni ujinga tu.huyo wanayemgombania wala hata hana wazo.
JibuFutaanaiba? ama anaonja na kukuachia?
JibuFutaJameni kama kingekuwa kiazi ati chaliwa na kuisha ndo ngeshangaa lakini nashangaa zaidi kwa kuwa hupaswi kupigana kwa kitu ambacho hakiliki kikakwisha....lol!