Pages

Jumatano, Oktoba 31, 2012

SIMULIZI YA MAMA MDOGO, NA INAYOITWA DADA YANGU INAPATIKANA KATIKA KITABU HIKI, JE UNAHITAJI MUENDELEZO WA SIMULIZI ZA KUSISIMUA KUPITIA BLOG HII ENDELEA KUWA PAMOJA NAMI


KWA AMBAO BADO HAWAJAPATA KITABU CHA MALIPO NI HAPAHAPA KINAPATIKANA MWANZA    VICTORIA BOOKSHOP, KARIBU NA SALMACON PAMOJA NA BOOK POINT KARIBU NA TRA ZAMANI  NA MAENEO MENGINE MBALIMBALI KAMA DAR ES SALAAM KAMA BADO HAUJAKIPATA TUWASILIANE  

JE UPO MKOA GANI?  ILI KUPATA MAELEKEZO YA NAMNA GANI UTAKIPATA KITABU HIKI TUWASILIANE  KUPITIA kavisheadela@yahoo.com au nipigie kwa namba  +255752817444 nikupe maelekezo wapi utakipata

Nipo katika maandalizi ya kitabu kingine chenye simulizi ya kusisimua ni matumaini yangu tutaendelea kuwa pamoja

kama haujapata kopi yako usikose kwasasababu simulizi zilizomo ni nzuri sana zinaelimisha na kusisimua



ASANTENI SANA TUENDELEE KUWA PAMOJA UTAPATA SIMULIZI TAMU ZA KUSISISMUA NA KUELIMISHA NAWAPENDA SANA


Maoni 1 :

Unakaribishwa kutoa maoni yako.