Kuna changamoto nyingi sana katika mapenzi lakini sikuzote unaambiwa usiache kutafuta furaha katika uhusiano ulionao kama kweli unampenda mwenza wako ni vyema kuwa naye karibu wakati wote ikiwa ni wakati wa shida ama raha lakini pia inapotokea migogoro baina yenu ni jambo la busara kukaa na kuzungumza ili kutatua tatizo na kuleta furaha katika uhusiano wenu, rekebisheni mlipokosea na usikae kimya kwa jambo lolote linaloweza kuleta mtafaruku katika mapenzi yenu na hata yule aliyenamakosa awe makini asirudie kosa alilotenda ili kuboresha uhusiano uliojaa furaha ya milele |
Ujumbe wenye hekima huo, mpendwa weye jembe, hayo unayotushauri kama unayatimiza katika ndoa yao, basi wewe ni jembe la kwenye ndoa. Ubarikiwe sana
JibuFuta