Unaweza Book Launch. Unaweza - Mbinu Kumi za Kumudu Masomo Yako ni
kitabu cha kujenga uwezo wa wanafunzi kumudu changamoto za maisha ya
shule na masomo yao. Uzinduzi wa kitabu hiki umefanyika Maktaba Kuu ya
Taifa kuhamasisha wa Tanzania kupenda kusoma.
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.