Lulu Michael anapendeza pia akiwa amejiremba na hata wakati mwingine akiwa natural bila ya kujiremba sana hupendeza pia, ni kutokana na kuwa sahihi katika kuchagua vipodozi. Ipende ngozi yako kuwa makini na watu wanaokushauri katika kutumia vipodozi. pendelea kutumia vipodozi asilia kwa ngozi yenye afya na yenye mvuto wakati wote. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.