Kuna sababu nyingi zinaelezwa kuwa kichocheo cha ugonjwa kama viatu vya kubana,soksi chafu na unyevunyevu wa maji usipokausha vizuri miguu baada ya kutumia maji ni miongoni mwa mambo yanayoweza kusababisha tatizo hilo,unaweza kujilinda kwa kuhakikisha miguu inakuwa safi muda wote ,kausha miguu mara inapokuwa na maji kwa mfano umetoka kuoga,zingatia usafi wa mwili mzima,epuka kuvaa viatu au soksi mbichi,epuka kuvaa viatu au soksi zinazobana,na usivae viatu muda mrefu bila kuvua pia zingatia kula chakula bora. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Unakaribishwa kutoa maoni yako.