Monday, August 06, 2012

UJUMBE WANGU WA LEO "USIUSEMEE MOYO WA MTU"

Sikuzote ni vigumu kutambua anachokiwaza binadamu mwenziyo lakini pia ni vigumu kutambua tabia ya mtu bila kumchunguza anaweza kuwa mpole lakini akawa hana tabia za kuridhisha.


3 comments:

Anonymous said...

Umependeza adela maneno mazuri

emu-three said...

Ujumbe murua mpendwa, usiusemee moyo wa mtu, maana hujui ndani yake kuna nini,anafikiria nini....au sio?

Yasinta Ngonyani said...

Ni bonge la ujumbe nimeupenda sana. Ahsante Adela.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...