![]() |
CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE WATAKUWEPO PIA.
Ukifika mapema saa saba utapata
huduma ya kupimwa saratani ya matiti bure na pia kupewa elimu ya
kujipima mwenyewe mara kwa mara ili kujua afya yako.Kama unavyojua moja
ya maradhi yanayowasumbua wanawake wengi na kupelekea kifo mojawapo ni
saratani ya matiti.Ukigundulika mapema inatibika wahi siku hiyo upate
huduma hii kabla ya shughuli kuanza.
TICKETS
Vituo
vya ticket ni Shear Illusion mliman city,maduka ya casandra
sinza,mikocheni na mjini,Born to shine boutiq mwenge na 8020 fashions
Sinza.Kwa walio town piga namba 0716485666 ulizia Jajos.Ukitaka SPECIAL MEZA ya kukaa na mashoga zako(watu 10) piga 0787 583132 na 0657442255.
1 comments
|
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo EVENT. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo EVENT. Onyesha machapisho yote
Jumatano, Juni 06, 2012
WOMEN IN BALANCE SEHEMU YA TATU IMEKARIBIA SI YA KUKOSA WADAU
Jumatano, Mei 23, 2012
WAPUUZI MOVEMENT GENERAL CONFERENCE SEHEMU YA KWANZA
Jumanne, Mei 15, 2012
Alhamisi, Mei 03, 2012
Leo ikiwa ni siku ya maadhimisho ya uhuru wa vyombo vya habari Duniani MISA wazindua KITABU
| Muheshimiwa Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Muheshimiwa Job Yustino Ndugai akiwa makini katika kuzindua kitabu kilichoandikwa na Media Instute Of Southern Africa (MISA) |
| KITABU CHA THIS IS DEMOCRACY BAADA YA UZINDUZI ILIKUWA MLIMANI CITY HALL |
| Pia leo Muheshimiwa Shyroze Bhanji na Rahel Muhando wa TBC walisherekea siku yao ya kuzaliwa |
| Pichani Rahel Muhando akifurahi pamoja na waheshimiwa katika kusherekea siku yao ya kuzaliwa |
| Hapa watu walikuwa makini kuimba kata keki tule,kata keki tule |
| Hongereni sana kwa kuzaliwa siku hii ya leo Mungu awazidishie maisha marefu zaidi |
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)


