| Muheshimiwa Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Muheshimiwa Job Yustino Ndugai akiwa makini katika kuzindua kitabu kilichoandikwa na Media Instute Of Southern Africa (MISA) |
| KITABU CHA THIS IS DEMOCRACY BAADA YA UZINDUZI ILIKUWA MLIMANI CITY HALL |
| Pia leo Muheshimiwa Shyroze Bhanji na Rahel Muhando wa TBC walisherekea siku yao ya kuzaliwa |
| Pichani Rahel Muhando akifurahi pamoja na waheshimiwa katika kusherekea siku yao ya kuzaliwa |
| Hapa watu walikuwa makini kuimba kata keki tule,kata keki tule |
| Hongereni sana kwa kuzaliwa siku hii ya leo Mungu awazidishie maisha marefu zaidi |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni