Tazama picha hii inaleta raha sana jamani,,ukaribu unajenga, kinachoshangaza baadhi ya watu hali ya kukumbatiana,kubusu na michezo mingine ya hapa na pale, zinakuwepo mwanzoni tu mwa mahusiano baadae wakishazoeana wanajisahau hilo ni tatizo usilifumbie macho uhusiano mlionao mnatakiwa kuujenga wenyewe ....... |
Maoni 1 :
uko sawa kabisa Adela nimekubalina na wewe endelea kutupa vitu wangu,,,mapenzi ili yadumu kuwa karibu ni muhimu sana
Chapisha Maoni