Jumamosi, Septemba 18, 2010

Kuna baadhi ya wanaume wanawapa mimba mabinti na kuwakimbia ,, wanakera sana..

Kuna baadhi ya wanaume wana tabia ya kuwapa mimba mabinti na kisha wanawakimbia mara ooh mimba si yangu,au kwa sasa sipo tayari kuwa na mtoto,ina maana wewe ulipokuwa unakula raha ulikuwa haujui nini kinafuata inauma sana kuona baadhi ya mabinti wanateseka na mimba walizopewa na wanaume wadanganyifu na kisha kuwaachia mzigo

Na kibaya zaidi eti wengine ikitokea mtoto amekwisha kuwa mkubwa ndio anaona umuhimu wake na kujirudi huku akiomba msamaha,,inamaana wewe unaposema mimi sipo tayari kuzaa kwa sasa then unafanya mapenzi bila kutumia kinga nini unategemea inakera sana,,kuwa makini na kile unachokifanya,,katika swala zima la mahusiano,



Maoni 4 :

o'Wambura Ng'wanambiti! alisema ...

Bwana mkubwa alisema kuwa kupata mimba kwa wasichana wa shule ni kiherehere chao...labda na hapa napo ni hivo hivo....lol!

Bila jina alisema ...

blog imetulia

alice alisema ...

mmmh Chach labda kiherehere ni cha wote mwanamke na mwanaume..hapana wanaume wengi wanayo hii tabia

o'Wambura Ng'wanambiti! alisema ...

Alice, pengine kuna ka-ukweli kati suala la kiherehere...kwamba ni wote...lol!

lakini ukiangalia katika suala zima utaona kuwa kiherehere hicho si mapenzi...lol!

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom