Jumatatu, Septemba 13, 2010

mbavu zagu jamani.............

Mitoto mingine noma jamani.....................

     Siku moja mida ya saa moja familia moja walikuwa wamekaa pamoja wakipiga soga za hapa na pale.Yaani baba,mama na mtoto..mambo yalianza kama hiviii wakati mama mtu akipika na kuandaa chakula na wakati huo baba mwenye nyumba akisoma gazeti mtoto akicheza.....mara mtoto alilipuka na kumuuliza baba yake swali moja...

Mtoto:baba mimi nataka nimuoe bibi awe mke wangu?
baba akajibu:mwanangu kwa nini unataka kumuoa bibi yako awe mke wako?
Mtoto:mimi nampenda bibi kwa kuwa ni mpole na ni mchangamfu na ananipenda sana 
Baba:mwanangu huwezi kumuoa bibi yako kwa kuwa ni mama yangu mzazi mwangangu..
Mtoto:baba sasa huo utakuwa ni uonevu jamani,yaani mimi siwezi kumuoa bibi kwa kuwa ni mama yako?
baba:ndiyo mwanangu
Mtoto:baba mbona wewe umemuoa mama yangu sijalalamika?ila wewe kukuolea mama yako tabu?poa baba nitafungua kesi ya pingamizi kisutu kutetea haki yangu hah hah ha ha ha  ah aha haha tehe heeeee
    
                                     by Njenga

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom