Wakati mwingine suprise ya zawadi hutumika pale ambapo wapendanao walikuwa wamekosana kama njia ya kurudisha penzi na kuliimarisha zaidi,zawadi kwa umpendae si lazima iwe zawadi kubwa inaweza kuwa ndogo lakini ikaongeza mvuto pia,na suprise hii inaweza kufanyika nyumbani au ukaamua kumtoa out ikiwa ni dinner au lunch inapendeza sana kufanyika mara kwa mara kama katika birthday,katika kuvishana pete ya uchumba,kutoa pongezi au shukrani nk. Na katika kufanya suprise hii inajumuisha mwanamke na mwanaume,,kwani kuna wengine utakuta mwanaume yeye ndiye anampa mpenzi wake zawadi kila siku lakini hakuna hata siku moja mwanamke naye akatoa zawadi,,ushirikiano ni jambo la muhimu sana ili kuongeza furaha na amani kila siku... |
Maoni 3 :
Yeah sure Adela, zawadi nikitu cha muhimu sana dada yangu, yaani nakukubali sana mtu wangu umeona mbali, kitu kidogo tu kinaweza kuzidisha upendo na kufuta hisia mbaya moyoni mwa mtu, nasio kwa mpenzi wako tu bali hata kwa rafiki tu wakawaida inapendeza sana, unajenga nguzo imara katika mahusiano yenu, mpenzi atazidi kukupenda na kukudhamini, hata kesho akikuagizia ukisahau kumletea, atakumbuka kwamba ipo siku ulimletea bila kukuagiza so, hatomindi chochote, na big kisses atakupa.
..only kama ana mazoea ya tuzawaadi....kuna baadhi ya makabila ukimpa zawadi ya maua kwa mfano atakufyatua nayo usoni akidai umweleze alokufundisha uhuni wa maua...lol!
....atadai kwa nini hujamletea kanga ama kitenge....lol!
@Hashir asante wangu tuko pamoja@Chacha hahahaha hiyo kali huyo anatakiwa kufundishwa ili afahamu.
Chapisha Maoni