Hapo Alice Kavishe akiwa anajiachia akiwa ameanza kushiba safi kabisa ,,jamani kwenye chakula hakuna aibu kama una njaa kula unavyoweza lakini usizidishe kipimo |
Hapo Alice Kavishe akiwa anajiachia akiwa ameanza kushiba safi kabisa ,,jamani kwenye chakula hakuna aibu kama una njaa kula unavyoweza lakini usizidishe kipimo |
Maoni 5 :
Kweli kila kitu kina mpaka wake, usile sana au kufanya kitu kupita kiasi.
Mhh, huyu mdogo wako, wote mpo bomba sana. Hongereni!
Heh! Adela nimeona umefanya badilisho la picha hapo juu bombi kweli. Haya sasa tuje kwenye kula ni kweli kabisa kula mno ni hasara, maana utakuta kuna wakati mtu unakula kwa sababu chakula ni kitamu sio kwa vile una njaa hapana. Na baadae utakata mtu kachoka sasa hapo kuna maana gani, hii hata chakula cha jioni wengi wanafanya kosa wanakula chakula cha jioni saa tatu-nne usiku hii si nzuri kwani huwa inaleta shida sana wakati wa kulala. Usingizi inakuwa shida kuupata kwa vile tumbo linakuwa bado limejaa.Kwa hiyo kwa afya inabidi kula chakula cha jioni baina ya saa kumi na moja jioni mpaka saa kumi na mbili......
Kweli watu tunatakiwa kula kwa kipimo jamani, sio mtu unakula mpaka unavimbiwa mweeeeee.Kadogo kako kamependeza kama dada yake...so cuuuute.!!
@Emu three thanx wangu @Yasinta asante mwaya ujumbe umefika my dia tuko pamoja@Edna thanx pia dia wangu.
inategemea unakula chakula gani, hai ama kilichokufa! Chakula hai hakina madhara sana kama kile kilichokufa!
Chapisha Maoni