Jumapili, Oktoba 10, 2010

Mapenzi hayaangalii umri,,,lakini ukizidi sana mmmmh,,,lazima kutakuwa na kitu zaidi ya mapenzi.

Tazama picha hii,hawa ni wapenzi,,huyu ni mzee mtu mzima pamoja na binti mdogo ambaye ingewezekana kuwa binti yake,,kuna mambo mengi yanayowasababisha mabinti wadogo kuwa katika uhusiano  wa kimapenzi na watu wazima,,mfano binti wa miaka 20 kuwa na mzee wa miaka 50,ikiwa ni tamaa ya pesa inachangia,,ijapokuwa wengine wanasema wazee ndio wenye mapenzi ya kweli kuliko vijana,,jamani kama hao wazee wana mapenzi ya kweli angemuacha  mke wake na kuja kukudanganya wewe,,tuache kudanganyana,,mapenzi ya kweli yanatokana na vitendo na si vinginevyo..Usipokuwa makini tamaa na ulimbukeni utakufanya utende mambo ya ajabu sana katika mahusiano...


Maoni 6 :

Yasinta Ngonyani alisema ...

Mmmmh! Adela umenena.

ADELA KAVISHE alisema ...

umeonaeeh@Yasinta tuko pamoja wangu

o'Wambura Ng'wanambiti! alisema ...

....ha ha ha haaa! Hapo unatung'ong'a sie vijeba....sasa kama huyo aliyeko kunyumba hatoi ushirikiano inakuwaje?

Bila jina alisema ...

mmhhh adela mbona kila siku izi za mapenzi hakuna vingine utu update mama unakuwa kama mwanamuziki hahaha just jokes!

Bila jina alisema ...

You seems to be an expert in this field, excellent article and keep up the good work, my friend recommended me this.

My blog:
meilleur taux puis solution rachat de credit

Bila jina alisema ...

Mbona umeongelea wanaume tu je unajua siku hizi wavulana wanapenda kuwa na wamama kisa wanajua kupenda ni kweli naomba siku uongelea hili pia itakuwa vizuri zaidi.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom