Jumatatu, Oktoba 18, 2010

Tabia ya baadhi ya wanawake kujifanya wababe katika mahusino pia ni chanzo cha kuachika.

Tazama mwanamke huyu katika picha anavyompiga mpenzi wake,,du jamani inapotokea matatizo au migogoro katika mahusiano tafuta njia nyingine ya kusuluhisha na sio kupigana.

Haya tazama jamaa anasoma gazeti huku demu wake akiwa anamzingua kwa maneno,wanawake baadhi wana midomo sana kiasi kwamba hufikia hatua mwanamume kumchoka.

Duuuh hiyo ngumi balaa kazi kweli kweli,je jamaa akiamua kumgeuzia kibao si ataua.
Angalia demu alivyokunja ngumi hapa kazi ipo.muhimu tutafute njia nyingine kutatua matatizo kwani hasira hasara,au mnasemaje wadau......

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom